

07-21 Njoo tuwafunze kuapply maji safi na maji taka
Jul 21, 2025
FREE
Fom ya kesho ni ? Come Gathondeki area kutoka 10.30 asubuhi hadi jioni .
Njoo tuwafunze kuapply maji safi na maji taka.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na Dagoretti Region kupitia nambari ya simu 0748265795.
Usiwache neighbour home !